1
🔍 Tafuta Deni Lako
Weka namba ya chombo (leseni) kwenye search box hapo chini
2
📋 Chukua Control Number
Kwenye matokeo, angalia safu ya "Namba ya Bili" - hiyo ndiyo Control Number yako
3
🏦 Nenda Kwa Wakala wa PBZ au NMB
Tembelea wakala yeyote wa Benki ya PBZ au NMB (PBZ au NMB Agent)
4
💵 Lipia Deni Lako
Toa Control Number na ulipe kiasi kinachotakiwa. Utapata risiti ya malipo